Heshma kwenu wakuu
Kwa kipindi kirefu nimefuataiia sana matokeo ya wanafunzi wetu wa A-level hasa wa combination za PCM, PCB na PGM katika shule zetu za serikali na nimegundu yafuatayo
1. Kuna ufaulu hafifu sana kwenye masomo hayo kwa shule zetu za serikali
Unakuta O-level mtu alipata divion 1 nzur sana au 2 ila A.level anaishia division 3 ,4 au 0
2. Zipo shule chache za serikali zinafanya vizuri mfano. Kibaha,ilboru,mzumbe etc japo katika matokeo yao pia division 3 na 4 zinakuepo chache.
Pia nimeona wanafunzi wengi wa michepuo hii ya sayansi katika shule hizi za serikali wanajitahidi sana kusoma ila mwishoni inakua hivyo.
Sasa kwa uzi huu wakuu naomba mjadala mpana nini tatizo na linatatulika vipi?
Pia kama unaona huu uzi haujakaa sawa ruksa kukosoa ili sote tujifunze kwa manufaa ya taifa letu