costa doncway
Member
- Oct 5, 2017
- 65
- 17
wana JF NAOMBENI kwa anayejua tarehe rasmi ya second batch ni Lin mana tunachoka kusubir bila kuwa na taarifa rasmi au tamko kutoka TCU
Kuwa na subira mkuu, haraka haina barakawana JF NAOMBENI kwa anayejua tarehe rasmi ya second batch ni Lin mana tunachoka kusubir bila kuwa na taarifa rasmi au tamko kutoka TCU
MajangaBodi ya mikopo wasubiri kidogo tutakufa kwa presha