Kwa anayejua bei ya mabelo ya viatu

Nov 22, 2020
25
6
Habari zenu wana JF kwa muda mrefu sana nilikuwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza viatu, sasa wakati umeshafika. Mimi nipo Arusha ila nasikia Moshi kuna viatu vizuri kweli, sijawahi kwenda huko, mimi nilikuwa nataka kujua tu mabelo ya viatu pale Moshi yapo maeneo gani na kwa belo moja wanauzaga kuanzia shigapi tafadhali kwa mtu ambaye anajua naomba anipe uzoefu wake.
 
Back
Top Bottom