Wadau kuna mtanzania aishie Marekani anahitaji kupata mwanaume wakitanzania mwenye uwezo wakumpa raha kwauhakika yeye ana umri wa miaka 43 lakini mwonekano wake ni kama miaka 23.
Anapenda:
Napenda night life and fine things in life.
Alizaliwa masikini lakini sasa ana pesa.
Sifa za mwanaume anayemwihitaji:
Nataka mtu anayetaka kufanya kazi, sitaki mzembe. Sitaki mtu anaye taka kugombana or controlling. Hata kama ana mtoto (watoto), ni sawa tu. Napenda mtu mrefu kunipita mimi. Mimi ni 5 foot tall, and niko mwembamba mwenye shape nzuri.
Nataka mtu anayependa kufanya mapenzi mara nyingi na mimi. Sitaki mtu anaye vuta sigara ama bangi or street drugs. Sitaki mtu anaye kunywa pombe nyingi kila siku.
Dini yoyote ni sawa tu. Sitaki mwanaume mwembamba sana ama manene sana. Lazima awe mtu msafi sana kwa sababu mimi ni msafi sana.
Nataka mtu between miaka 35 na 53. Akiwa na nwyele ama kipara ni sawa tu.
The main thing is he must be able to make love to me......and know how to use his tools......!
mmh! Lisa hawa watu unawatoa wapi?
lol, ngoja niku-PMNataka mtu anayependa kufanya mapenzi mara nyingi na mimi
mmh! Lisa hawa watu unawatoa wapi?
Hahaha nimeipenda hii na ina ukweli hawa wanaume mpaka sasa wako jf huduma nyeti wanatoa saa ngapi?....he!he!he!he!...mpwaaz huendi kurudisha matumini mpk sasa upo tu? he!he!he!....men wote wa JF huyu bibie hawafai......wako addicted to JF than patinaz wao.... !
Wadau kuna mtanzania aishie Marekani anahitaji kupata mwanaume wakitanzania mwenye uwezo wakumpa raha kwauhakika yeye ana umri wa miaka 43 lakini mwonekano wake ni kama miaka 23.
Anapenda:
Napenda night life and fine things in life.
Alizaliwa masikini lakini sasa ana pesa.
Sifa za mwanaume anayemwihitaji:
Nataka mtu anayetaka kufanya kazi, sitaki mzembe. Sitaki mtu anaye taka kugombana or controlling. Hata kama ana mtoto (watoto), ni sawa tu. Napenda mtu mrefu kunipita mimi. Mimi ni 5 foot tall, and niko mwembamba mwenye shape nzuri.
Nataka mtu anayependa kufanya mapenzi mara nyingi na mimi. Sitaki mtu anaye vuta sigara ama bangi or street drugs. Sitaki mtu anaye kunywa pombe nyingi kila siku.
Dini yoyote ni sawa tu. Sitaki mwanaume mwembamba sana ama manene sana. Lazima awe mtu msafi sana kwa sababu mimi ni msafi sana.
Nataka mtu between miaka 35 na 53. Akiwa na nwyele ama kipara ni sawa tu.
The main thing is he must be able to make love to me......and know how to use his tools......!
Huyo mama ametoa specification utadhani naye ni design engineer. Tena anadesign watu. Mimi nimemeet all the specifications za hapo juu nipe hiyo biashara nihangaike nayo.LolWadau kuna mtanzania aishie Marekani anahitaji kupata mwanaume wakitanzania mwenye uwezo wakumpa raha kwauhakika yeye ana umri wa miaka 43 lakini mwonekano wake ni kama miaka 23.
Anapenda:
Napenda night life and fine things in life.
Alizaliwa masikini lakini sasa ana pesa.
Sifa za mwanaume anayemwihitaji:
Nataka mtu anayetaka kufanya kazi, sitaki mzembe. Sitaki mtu anaye taka kugombana or controlling. Hata kama ana mtoto (watoto), ni sawa tu. Napenda mtu mrefu kunipita mimi. Mimi ni 5 foot tall, and niko mwembamba mwenye shape nzuri.
Nataka mtu anayependa kufanya mapenzi mara nyingi na mimi. Sitaki mtu anaye vuta sigara ama bangi or street drugs. Sitaki mtu anaye kunywa pombe nyingi kila siku.
Dini yoyote ni sawa tu. Sitaki mwanaume mwembamba sana ama manene sana. Lazima awe mtu msafi sana kwa sababu mimi ni msafi sana.
Nataka mtu between miaka 35 na 53. Akiwa na nwyele ama kipara ni sawa tu.
The main thing is he must be able to make love to me......and know how to use his tools......!
GS bana! sijui huwa unawaza nnMwanakijiji si yupo huko huko.Je hamfai?
Hahaha nimeipenda hii na ina ukweli hawa wanaume mpaka sasa wako jf huduma nyeti wanatoa saa ngapi?