Kwa anayejiamini anaweza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anayejiamini anaweza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lisa, Feb 23, 2010.

 1. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,562
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wadau kuna mtanzania aishie Marekani anahitaji kupata mwanaume wakitanzania mwenye uwezo wakumpa raha kwauhakika yeye ana umri wa miaka 43 lakini mwonekano wake ni kama miaka 23.

  Anapenda:
  Napenda night life and fine things in life.

  Alizaliwa masikini lakini sasa ana pesa.

  Sifa za mwanaume anayemwihitaji:
  Nataka mtu anayetaka kufanya kazi, sitaki mzembe. Sitaki mtu anaye taka kugombana or controlling. Hata kama ana mtoto (watoto), ni sawa tu. Napenda mtu mrefu kunipita mimi. Mimi ni 5 foot tall, and niko mwembamba mwenye shape nzuri.

  Nataka mtu anayependa kufanya mapenzi mara nyingi na mimi. Sitaki mtu anaye vuta sigara ama bangi or street drugs. Sitaki mtu anaye kunywa pombe nyingi kila siku.

  Dini yoyote ni sawa tu. Sitaki mwanaume mwembamba sana ama manene sana. Lazima awe mtu msafi sana kwa sababu mimi ni msafi sana.

  Nataka mtu between miaka 35 na 53. Akiwa na nwyele ama kipara ni sawa tu.

  The main thing is he must be able to make love to me......and know how to use his tools......!
   
 2. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,562
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135

  Fidel, Chrispin, Masanilo , Geff tafadhali haumo umo maana wewe bado mchanga kwenye ndoa. na wengine mnaoona mko fity mnaweza kuapply.Hahahahahah!
   
 3. K

  Kosmio Senior Member

  #3
  Feb 23, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haya mwenye uwezo wa 3 mara kutwa uwanja huo.
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,768
  Likes Received: 1,678
  Trophy Points: 280
  mmh! Lisa hawa watu unawatoa wapi?
   
 5. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  ...Mh! Haya mengine ni majini nini?? Mwanaume anayeweza kufanya mapenzi mara nyingi??!!....Haya.
   
 6. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  ni yeye mwenyewe, anatunga visa kufurahisha jamvi................... we endelea kuburudika kwa raha zako..................
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 43,074
  Likes Received: 27,037
  Trophy Points: 280
  apunguze umri kidogo mapenzi hayachagui umri.
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  lol, ngoja niku-PM
   
 9. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #9
  Feb 23, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mwanakijiji si yupo huko huko.Je hamfai?
   
 10. Theodora

  Theodora JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 526
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Desperado who does not want to grow up...Mmmh men in the house all the best!
   
 11. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,158
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ....he!he!he!he!...mpwaaz huendi kurudisha matumini mpk sasa upo tu? he!he!he!....men wote wa JF huyu bibie hawafai......wako addicted to JF than patinaz wao....[​IMG][​IMG]!
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  du lisa mbona tangu umeingia unawatafutia wadada tu soko,waambie wenyewe waingie jf wajitupe kwenye kinyang'anyiro
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Hahaha nimeipenda hii na ina ukweli hawa wanaume mpaka sasa wako jf huduma nyeti wanatoa saa ngapi?
   
 14. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Je wewe unayaweza maana isiwe unataka mtu mpiga kibuyu wakati wewe mwenyewe MCHAGA...ngoma ya ngosha ze don utaiweza wewe? maana mara kumi kwa siku ndo ngosha natosheka...hebu toa CV yako ki mapenzi kwanza...
   
 15. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  watu tunataka CV iliyokwenda shule,pombe hatunywi sigara wala bangi hatuvuti ila tunavuta maji ya KIBUYUNI...je wewe unayaweza mama?
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,548
  Likes Received: 1,927
  Trophy Points: 280
  Huyo mama ametoa specification utadhani naye ni design engineer. Tena anadesign watu. Mimi nimemeet all the specifications za hapo juu nipe hiyo biashara nihangaike nayo.Lol
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 37,634
  Likes Received: 9,129
  Trophy Points: 280
  Haya sasa ma suicide mission midege ya jeshi hiyo advertise nje nje.
   
 18. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Suicidal! lol!:D
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 14,794
  Likes Received: 1,431
  Trophy Points: 280
  GS bana! sijui huwa unawaza nn
  umenifurahisha.....
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,768
  Likes Received: 1,678
  Trophy Points: 280
  Asa FL na wewe mulu unamhudumia saa ngapi kama hadi mida hii ulikuweppo..:D
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...