kokoto nyeusi
Member
- Dec 27, 2019
- 20
- 11
Mkuu nicheki TuyajengeNdugu zangu mimi ni Graduate BAF Mzumbe na pia nina CPA, nimefanya kazi ya kama Account Payable ktk taasisi kubwa kwa miaka 3, hivyo kwa Taasisi inayoitaji mtu makini kwenye hiyo sector nipo tayari kufanya kazi.