Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,874
- 11,661
Habari wadau kama kichwa kinavyosomeka. Kwa anayehitaji mdada wa kazi. Ni binti smart, anajua majukumu yake na muaminifu. Ni ndugu yangu ametoka Bukoba yupo Dar.
Kama unahitaji mdada wa kazi nicheki PM au niachie namba yako.
Shukrani!
Kama unahitaji mdada wa kazi nicheki PM au niachie namba yako.
Shukrani!