kwa anayehitaji Compressor ya Upepo

kwa anayehitaji Compressor ya Upepo

pex

Member
Joined
Nov 20, 2009
Posts
57
Reaction score
13
Ninauza compressor ya upepo size ya kati. Compressor bado mpya haijatumika na ina vifaa vyake vyote. Gauge yake ni ile ambayo haipati kutu kwa haraka na Pipe yake ya upepo ni ngumu hutumika pia kwenye malori. Niliinunua 650,000 na ninaiuza 450,000 tu. Sababu ni change of business plan. Serious buyer unaweza kuwasiliana nami kwa namba 0657 621427.
 

Attachments

  • 1409927694455.jpg
    1409927694455.jpg
    75.2 KB · Views: 68
Back
Top Bottom