Kwa anayehitaji chumba na sebule

Kwa anayehitaji chumba na sebule

topr

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
700
Reaction score
654
Kwa wakazi Wa dar maeneo ya ubungo Kama unaenda kimara (Kona)chumba na seble kinapangishwa kipo ndani ya fensi(geti) wapangaji mtakuwa wawili maji yapo ndani sh90000kwa mwezi.Kama unaitaji nichek hutalipa garama ya dalali
 
Hhahahah mbona hampo Sirius jaman
 
Naitaji chumba bila sebule..maeneo hayo kama kipo ni pm

Kwachumba hapana sijui bat kwa iyo chumba na seble ndo najua cos muusika ameamishw kikaz mkoa
 
Kwa wakazi Wa dar maeneo ya ubungo Kama unaenda kimara (Kona)chumba na seble kinapangishwa kipo ndani ya fensi(geti) wapangaji mtakuwa wawili maji yapo ndani sh90000kwa mwezi.Kama unaitaji nichek hutalipa garama ya dalali

NakuPM mkuu tuongee
 
Weka Picha! !
 
Mimi ninachumba na sebule kipo kimara bucha. Mita 350. Kutoka barabarani kuna maji na umeme.
Mimi ndio mwenye nyumba . Atakayeitaji. Nipigie 0658777859 bei 80 elfu kwa mwezit
 
Hhahahahhaaha sku hz JF inaingiliwa kwa kweli,mtu anapost ktu cha maaana watu wanaanza utani,dah
 
Mimi ninachumba na sebule kipo kimara bucha. Mita 350. Kutoka barabarani kuna maji na umeme.
Mimi ndio mwenye nyumba . Atakayeitaji. Nipigie 0658777859 bei 80 elfu kwa mwezit

Hiyo bei nahusisha na umeme + maji?
Unachukua kodi ya kipindi gani?
Kuna wapangaji wangapi?
 
Mimi nina chumba na sebule yemen...tandale...nyumba ipo barabaran kabisa..yaan kituon..yemen..ina fensi na usalama wa kutosha...umeme...na maji vinapatkana...bei sh.80000.kwa mwezi.kama unahitaji call me through 0658904648
 
Kwa wakazi Wa dar maeneo ya ubungo Kama unaenda kimara (Kona)chumba na seble kinapangishwa kipo ndani ya fensi(geti) wapangaji mtakuwa wawili maji yapo ndani sh90000kwa mwezi.Kama unaitaji nichek hutalipa garama ya dalali

Unachukua kodi kuanzia ya muda gani?
Vipi umeme na maji?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom