Tuelezee hapa hizo faida za kilimo cha mkonge
Bado hakuna aliyejitokeza ? Nimetaarifiwa kuwa mkonge siku hizi ni mali. Nasikia una soko kubwa sana china na kwa hiyo wananchi siku hizi wanasindika wenyewe na kuuza.
WANAJITOKEZA TUNAZIDI KUWAPA ELIMU JAPO MUITIKIO CYO MKUBWABado hakuna aliyejitokeza ? Nimetaarifiwa kuwa mkonge siku hizi ni mali. Nasikia una soko kubwa sana china na kwa hiyo wananchi siku hizi wanasindika wenyewe na kuuza.
poa mkuu karibuMimi nafikiria kuanza kulima hicho nitawasiliana nawe
Tuelezee hapa hizo faida za kilimo cha mkonge
Mie wa Kwanza ntakuchekiKWA YEYEYOTE MKULIMA AU MFANYABIASHA ANAYETAKA KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA MKONGE NA ANAITAJI KUPATA USHAURI FAIDI ZA KILIMO CHA MKONGE NA UZALISHAJI NA KAMA UNAWEKEZA TANGA TUNAWEZA KUKUSAIDIA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZOTE ZA SHAMBA TUWASILIANE KWA NO. 0717698998/0769323117
Mie wa Kwanza ntakuchekiKWA YEYEYOTE MKULIMA AU MFANYABIASHA ANAYETAKA KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA MKONGE NA ANAITAJI KUPATA USHAURI FAIDI ZA KILIMO CHA MKONGE NA UZALISHAJI NA KAMA UNAWEKEZA TANGA TUNAWEZA KUKUSAIDIA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZOTE ZA SHAMBA TUWASILIANE KWA NO. 0717698998/0769323117
Mie wa Kwanza nitakuchekiKWA YEYEYOTE MKULIMA AU MFANYABIASHA ANAYETAKA KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA MKONGE NA ANAITAJI KUPATA USHAURI FAIDI ZA KILIMO CHA MKONGE NA UZALISHAJI NA KAMA UNAWEKEZA TANGA TUNAWEZA KUKUSAIDIA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZOTE ZA SHAMBA TUWASILIANE KWA NO. 0717698998/0769323117
Kituo chako cha utafiti kiko mkoa gani? Mie wa Kwanzanitafute kama kweli una nia yakuwekeza kwenye kilimo cha mkonge nitakusaidia kwani mi niko kwenye kituo cha utafiti wa mkonge tena idara ya mkonge ni check kwa no; 0717698998/0769323117
Mimi pia nina heka 30 Moro sijajua nilime nn mnaweza nishawishKituo chako cha utafiti kiko mkoa gani? Mie wa Kwanza
Asante mkuu kwa info hiinitafute kama kweli una nia yakuwekeza kwenye kilimo cha mkonge nitakusaidia kwani mi niko kwenye kituo cha utafiti wa mkonge tena idara ya mkonge ni check kwa no; 0717698998/0769323117
Kaka ungetumwagiaa hapa makadirio ya gharama zake na hutumia muda gani hadi kuanza kuingiza faida UbarikiweFAIDA ZA KILIMO CHA MKONGE
Mkonge hauitaji uangalizi wa juu kama mazao mengine , ni uwekezaji wa mda mrefu ambao unaingiza ghalama kubwa mwanzoni tu baada ya hapo unakuwa unatengeneza faida, soko lipo la uhakika na ambalo kwa sasa linazidi kupanda, faida yake ni kubwa kuanzia mwaka wa nne. Mkonge unavumilia sana ukame na magonjwa invyo kuwekeza na kupata hasara ni asilimia ndogo.