Kwa anayefahamu jamani, anisaidie tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anayefahamu jamani, anisaidie tafadhali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tiger, Sep 7, 2009.

 1. T

  Tiger JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2009
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wakuu naomba msimamo wenu kwa wale mnaofahamu
  juu ya huyu mama "Ester Abraham-Hicks",
  Hivi anaamini katika MUNGU wetu MUUMBA wa vyote
  au mungu yupi?
  nisaidieni jamani.
  Unaweza check hii kwenye You Tube "Abraham on God - Esther & Jerry Hicks"
   
Loading...