Kwa anayeenda Chuo cha Mweka naomba tuwasiliane

Kwa anayeenda Chuo cha Mweka naomba tuwasiliane

njileog

New Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
3
Reaction score
1
Kwa yeyote aliyechaguliwa na anaenda College of African Wildlife Mweka naomba anicheki hapa tuyajenge masuala muhimu maana hata mimi naenda pale.

Hata kama upo chuo tayari mwaka wa kwanza au wa pili please contact me katika namba 0620 645 008
 
Acha kujichoresha mitandaoni
mshamba wewe
Unaita mwenzako mshamba bila kujua sababu iliyomfanya kutafuta watu anaoenda nao chuo kimoja seriously? Kama ni mgeni na anataka mwenyeji?
Jitafakari...
 
kuna watu uwa hawajielew yaan pal!
sema uyo anaesem m najichoresh cjui kimemuuma nn yaan...
somtymz ukiwaza unachek tu coz iz a seriuz matter and one comez uttering shit!!
sema Mungu awasaidie wenye akili za kipuuz kama yy wafunguliwe macho ..
its educational forum you reply what it concerns yu not underestimating...
 
Bro haya ndio maisha...Achana nae huyo wapo watu wa Mweka watakuja wakusaidie...Kwanini upate usumbufu na wakati kuna namna waweza pata msaada...Upo sahihi ndugu
 
Back
Top Bottom