Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 69,877
- 183,922
Habari wana jf,
Ni kitambo kichache tokea mara ya kwanza kuona air condition inayosemekana inatumia maji kupooza chumba ilikuwa ni 2008, na kwa watu wa dar wengi tunajua joto linavyotutesa kuwa na chombo hiki ni zaidi ya hitaji muhimu. Hii ac niliikuta kwa ndugu yangu mmoja ila mara nyingi huwa anaitumiaga kama feni tu.
Hapo jana nilipokuwa naangalia t.v nikaona tangazo moja likitaarifu juu ya uwepo wa vifaa hivi nchini vyenye ufanisi zaidi wa kupooza joto ikisemekana vinatumia maji na umeme mdogo pia ila ubaya nililikutia mwishoni.
Naomba kujuzwa ni jinsi gani hizi ac zinafanya kazi pamoja na ufanisi wake na pengine bei zake kwa wale wenzangu mnaozifahamu vizuri,Nawasilisha.