Habari,Naomba Mnielekeze Shule Ya Sekondari Mbekanyira Ipo Wap? Je Ni Mjini Au Vijijin?
Ni Mbekenyera, Mkoa wa Lindi, Wilaya anayotoka naibu waziri wa Elimu Tamisemi Mhe Kassim Majaliwa, ni wilaya ya Ruangwa, Panda mabasi pale mbagala yanayokwenda Ruangwa, Yapo kama 3 hivi, Kuna Wifi Coach, Saadia Line na SB. Ila basi zuri ni Saadia Line, shs 25'000. Fika Ruangwa stendi utapanda Hiece au Noah utakwenda Mbekenyera.

Umenikumbusha tulikuwa na Back 3 akiitwa mbekenyera.
Mkuu alisoma Masasi day huyo?kama ndiyo nipo nae Arusha kwa sasa,alihamia toka huko Mbekenyera tukambatiza hilo jina,bado anapiga ball