MWAMUNU JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 870 Reaction score 531 Oct 1, 2012 #1 Hi wana jamvi ! Ni pande zipi kwa hapa Dar wanapiga rangi magari vizuri na kwa bei nafuu ?? Kwa anaefahamu naomba anijuze pls!!
Hi wana jamvi ! Ni pande zipi kwa hapa Dar wanapiga rangi magari vizuri na kwa bei nafuu ?? Kwa anaefahamu naomba anijuze pls!!
T The_Analyst JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 246 Reaction score 88 Oct 1, 2012 #2 according to my analysis : gerezani
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Oct 1, 2012 #3 Kuna jamaa anapiga vizuri sana ana garage yake maeneo ya kinondoni anaitwa Nicas. Cheki nae.
Dumelang JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 3,274 Reaction score 5,938 Oct 1, 2012 #4 mie bana kuna dogo anafanya kazi pale Hyundai..huwa namtoa nje ya office aananifanyia nyumbani, yani dogo no mtata lakini pia bei inakuwa ya kishikaji.....
mie bana kuna dogo anafanya kazi pale Hyundai..huwa namtoa nje ya office aananifanyia nyumbani, yani dogo no mtata lakini pia bei inakuwa ya kishikaji.....
MWAMUNU JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 870 Reaction score 531 Oct 1, 2012 Thread starter #5 naomba namba za huyo dogo
MWAMUNU JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 870 Reaction score 531 Oct 1, 2012 Thread starter #6 nisaidie namba ya huyo bro nicas
Mzee wa kurekebisha Senior Member Joined Sep 29, 2012 Posts 178 Reaction score 170 Oct 1, 2012 #7 VETA wako vizuri pia.
M Moony JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,599 Reaction score 437 Oct 2, 2012 #9 mwenge, kuna garage ya wachina