Ukiwa kanisani umesikia harufu ya kitimoto au?Ngoja tutoke kanisani kwanza
Rosti ama choma.Wantia hamu....
Choma + ndizi mbili+ kachumbali+ biaRosti ama choma.
π€£π€£π€£π€£ mtego wa kitambi huo .Choma + ndizi mbili+ kachumbali+ bia
Na kitimoto ni nyama nyeupe. Haileti madhara makubwa kama red meatApo tu ndio naonaga umuhimu wa wakristo , wasingekuwepo huyu mdudu mtam sidhani kama angekuwepo tena humu duniani.
Kabisa pia usisahau kusema ni tamu hakuna mfano wake.Na kitimoto ni nyama nyeupe. Haileti madhara makubwa kama red meat
πππKabisa pia usisahau kusema ni tamu hakuna mfano wake.
Pia ni laini na unaweza kula mpaka ngozi...kama kuku tuNa kitimoto ni nyama nyeupe. Haileti madhara makubwa kama red meat