Kwa anaehitaji line ya Tigopesa

Kwa anaehitaji line ya Tigopesa

Seaman88

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
417
Reaction score
156
Tangazo, kwa anaehitaji line ya uwakala ya tigo, ni ya uhakika na sio ya magumashi. Kwa waliopo DSM atakuja kuichukulia ofisini kwangu ili kumuondolea hofu ya kutapeliwa. Bei ni 250,000 kama unahitaji ni pm kwani bei ni rahisi mno usiikose.
 
Acha utapeli line zinatolewa bure mimi mwenyewe nilikuwa natafuta na nikawahi kutoa tangazo hapa kuwa nataka line kuna mtu wa tigo akanambia ni bure nisusumbuke.
Wewe kama umeshindwa rudisha tigo
 
Hapana line za tigo pesa sio bure hata laini ya kawaida inauzwa
 
hakuna kitu cha bure ndg yangu
 
Till ya Tigo kuipata kwa Dar toka watu wa tigo ili ufanyie kazi Dar sidhani kama wanatoa.
Ukihitaji lazima ununue kwa watu wanaotaka kuachana na kutoa huduma,kama mdau huyu nukta.
 
kweli hakuna kitu cha bure utalipia huduma za kawaida no 1 na 2

  1. kununua line 1000
  2. kufungua akaunti kama elfu ishirini tsh 20000/=
  3. Lazima uwe na kianzio (mtaji) usiwe chini ya milioni moja kiutaratibu huyo kashindwa arudishe ofisini
  4. Huyo atakuuzia bado itakuwa ktk jina lake
  5. mimi niliwahi kutafuta na wengi walito matangazo humu lakini mwisho wa siku nikazinduka na ninayo mpya tena kwa jina langu
 
Tangazo, kwa anaehitaji line ya uwakala ya tigo, ni ya uhakika na sio ya magumashi. Kwa waliopo DSM atakuja kuichukulia ofisini kwangu ili kumuondolea hofu ya kutapeliwa. Bei ni 250,000 kama unahitaji ni pm kwani bei ni rahisi mno usiikose.

Nicheki 0656899091
 
Back
Top Bottom