Kwa anaeangalia Malumbano ya Hoja ITV, hivi kweli hawa ni wanafunzi wa Chuo Kikuu?

hawawezi kujenga hoja......kuna bwana mmoja amejitambulisha kama fundi amejenga hoja za maana kuliko hawa wanachuo na amemchana live mwanachuo mmoja aliyejigamba kama kiongozi wa mgomo uliotokea....
 
Ungeangalia malumbano.ya wiki iliopita nafkir ungelia kabisaa...mada ilihusu kushuka kwa tsh thid ya dola...yaan wanachuo wa U.D na Ardhi walikua wanabwabwaja tuu na kushindwa kujenga hoja juu ya nini kifanyike kuinua shilng yetu...afu wengi wao walijitambulisha kama wanauchumi....Afu kuna mmoja yuko serius kabisa anataja IFM badala ya IMF....Duh nliona aibu sana asee.
 
Mkuu hili taifa linazidi kuangamia nyanja zote.
 
Back
Top Bottom