Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Kama endapo atathibitika kuwa mmiliki wa hayo mabasi Unadhani nani atakaye mchukulia hatua?
Maana kuna usemi usemao Nyani haoni kundule. Au ambaye anajiona mtakatifu awe wa kwanza kumpiga yule mwanamke mzinzi.
In general ni kwamba ndani ya ccm hakuna mtu msafi, hata Magufuli ni walewale.
Mtoto wa fisi au mbwa.Alipochaguliwa mara ya kwanza kuwa waziri mkuu alijiita mtoto wa mkulima, sasa hivi sijui anajiitaje???
Mtoto wa fisi au mbwa. Kutokana na tabia zake.NAJUA JINA MOJAWAPO ATATUMIA KATI YA HAYO.Alipochaguliwa mara ya kwanza kuwa waziri mkuu alijiita mtoto wa mkulima, sasa hivi sijui anajiitaje???
Nina maswali mawili tu kwa leo nilyoyatohoa kwenye gazeti la wiki hii la Mwanahalisi kwa wenye mapenzi bado na Mheshimiwa huyu ambae kwa maoni yangu naona kama vile heshima yake inaanza kushuka.
1. Ni kweli kwamba mheshimiwa huyu ni mmiliki wa mabasi ya Sumri? Maana taarifa zinasema hisa za Pinda zinamilikiwa kupitia kampuni ya One Move Transport.
2. Huko nyuma Pinda aliwahi kunukuliwa akisema hakuna kuiogopa Kagoda. Badae akanukuliwa akisema Kagoda ngumu. Kwa nini mkuu ana kauli mbili tofauti kwenye "inshu" moja???
Naomba kuwasilisha.