KWA AMBAE AMEKOSA AWAMU YA NNE KUCHAGULIWA CHUO

Ndeteiyo

Member
Sep 13, 2016
45
8
Habari wanaJF kwa ambao awajafanikiwa kupata vyuo awamu ya Nne itakuwaje kwa upande wao ukizingatia masomo yanaanza November, ushauri tafadhali. ....
 
Habari wanaJF kwa ambao awajafanikiwa kupata vyuo awamu ya Nne itakuwaje kwa upande wao ukizingatia masomo yanaanza November, ushauri tafadhali. ....
Hapo itabidi utimbe chuo unachotaka kwenda ule nao dili wakusajili AF ndo watume jina lako tcu..au watimbie TCU uwambie limfumo lao limekukosesha chuo ili mjadili cha kufanya
 
Back
Top Bottom