Lundavi
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 328
- 325
Jamani nimeomba mkopo kwa hawa watu wa Faidika microfinance ltd, lakini nashangaa toka nijaze mkataba ni kama Wiki ya tatu lakini bado hawajanipa pesa yangu kwa wazoefu mnisaidie mkopo wa hawa jamaa unachukua muda gani. Maana nataabika wakati nilitegemea shida zangu nitatatua mapema.

