Lundavi
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 328
- 325
- Thread starter
- #21
Hatimae mwezi huu Faidika wameanza kunikata makato ya mkopo niliouchukua. Nilichokipenda wanakata kiasi kile kile nilichooneshwa kwenye chat yao. Kwahiyo habari za kusema wanaongeza makato si sahihi. Ahsanteni Faidika.Kuna kipengele kwenye mkataba wao kinasema taasis inauwezo wa kubadilisha interest wakat wwte bila kukupa taarifa. Chunga hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app