Kwa aliewahi kumpenda sister

Kwa aliewahi kumpenda sister

We mleta mada unajitafutia dhambi kwa bidii sana. Aidha kwa kuwamsingizia huyo mtawa au kama ni kweli unaifuata dhambi ya uzinzi...
 
Kama huwa unasafiri, pendelea kulala kwenye hostel zao mfano Nyakahoja pale Mwanza badala ya kulala guest house za mtaani, utawapata kiulaini kwani mara tu unapopishana nao utawaona wanavyokuangalia kwa macho ya tamaaa
Ahsante sana mkuu kwa kushea na cc info h nzuri big up
 
Je umewahi kupendana Na sister?Mimi kuna sister mmoja ametokea kunipenda kinyama.tulikutana mazingira fulani ya kielimu tukapeana namba kwa mawasiliano ya kawaida.baada ya shughuli kumalizika kila MTU alienda kwao(mkoani). Vipi lakini ile

toka Siku iyo huyu mtumishi wa mungu ananitumia SMS za mahaba daily.ananitumia picha WhatsApp pozi za hatari.mwezi wa sita anasema anakuja kunipa tunda.sasa naomba ushauri wenu maana namuogopa mungu.
Vipi lakini yule msichana uliye sex naye kule singida usha pata DNA test? Maana hiyo ulitujuza tarehe 6 ya January hii. Hata hivyo jumatatu ya hii wiki ulisema umekula mtoto wa Katesh na ukaahidi kuhamia huko maana unawala wengi tena wanadai elfu tano tu. Hao hawajatosha umehamia kwa watumishi?
 
endelea kumuogopa ivo ivo...ukipata upeo Wa kujua hii ni dhambi basi usijaribu kufanya iogope dhambi kabisaa.jitaidi sana kujiepusha na mambo yanayokufanya ujitenge na Mungu...Ni vyema umkose huyo sister kuliko kumkosa Mungu Wa milele..
Tena nyie wa hivi ndo wanafiki wakubwa na wazinzi
 
Watatu. Wawili walisema wanasoma wawe clinical officers kama sikosei. Mmoja alikuwa anasomea pharmacy.

Watamu sana aisee kajaribu. Kitu mnato kinabana sababu kinatumika kwa wizi sana. Kama upo iringa nasikia wale wa jimboni kabisa kule karibu na chuo cha ualimu wanasifika sana kwa ukarimu wa kuwahudumia Kondoo wa bwana
Mkuu pia wakaratu nao wamo wana huruma kuliko binadamu wa kawaida
 
Mkuu, una bahati ya kipekee sana.Utakula kondoo wa bwana lakini kizuri zaidi utambikiri.Raha sana hilo zoezi.

Naomba umwambie basi aongee na sister mwenzie,kwamba nami nimpe kitu kizuri mno.

nashukuru
Aliyekudanganya mabikira nani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom