Pelham 1
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 548
- 100
Habari zenu ndugu zanguni!!
Tigo wamenipa offer ya kupunguzo la bei tsh 45,000/= kwa simu ya HUAWEI Y300 toka maduka yote ya Tigo Dar inayouzwa tsh 195,000/= nichukue kwa tsh 150,000/= nitakapo hitaji na offer hii ni ndani ya week 2, kwa kuwa mi sina pesa nimeamua kuileta offer hii jukwaani kwa mwenye hizo pesa na anaehitaji nipo teyari kumpeleka maduka ya Tigo nakupewa simu hiyo kupitia ujumbe wa sms niliotumiwa baada ya kupigiwa simu leo asubuhi.
Namba yangu ya simu
0714-074040
0767-074040
Karibu sanaaa...