Kama huna hela chapa lapam period
Kama huna hair on the chest, ione lami
Kama ni bakhili, nipishe
Kama hujui to treat a women, sowy
Kama ni Kilaza, usinijue
kujisifu kwingi,kumbe huna lolote,kufuga madevu kama obama,kujisifu kwa watu umemfanyia hivi mpenzi wako kumbe uwongo mtupu.list ni ndefu,ila kwa ufupi tu ni hayo
kujisifu kwingi,kumbe huna lolote,kufuga madevu kama obama,kujisifu kwa watu umemfanyia hivi mpenzi wako kumbe uwongo mtupu.list ni ndefu,ila kwa ufupi tu ni hayo
una dread.... HAPANA au umenyoa zungu.... NDIYO
una kifua kipana.... NDIYO...six pack abs je.... ZIPO
unavaaje kwanza....TISHETI NA JINZI ..viatu vyako vikoje....VIZURI