Kwa 15,000/ tu, naweza kufanyia vitu vifuatavyo kwenye tovuti yako

Hiyo elfu 15 inahusu nini and unapata nini?
Hizi ni microtasks tu Mkuu kama nilivyoainisha hapo juu, mfano installation of Google Tag Manager kwenye tovuti yako. Ila kwa zaidi ya hapo cost itakuwa tofauti kulingana na ukubwa wa project.
 
Sijui kiitaliano au kiebrania hiki. Dah nahisi nimekosea kitu hili basi la mwendo kasi litakuwa ni express na limenipitisha huku hata sipaelewi.
 
  • Install premium wp theme.
  • Google Analytics set up.
  • Google Tag Manager set up.
  • Creating custom report on Google Analytics.
  • Work close to optimize landing page.
  • Keyword Research (up to 100 most profitable long-tail keywords)
  • Email marketing set up,
  • Manage your Adwords account per day.(excluding account set up fee).
Ask any question, nipo tayar kujibu.
Thanks.
Who gonna do the installation?
 
Una tovuti au android app?
Kwa sasa sina tovuti bo kaka ila ntapokuwa ntawajuza. Hiz ni baadhi ya tovuti tulizokamilisha, fully functional Bushfocus.com, Margatefl.com Tataminicab.com na Havenparkhotel.com ni moja kati ya tovuti tumeshafanya.
 
Mimi ni AdSense account na blog, nataka unifanyie marekebisho kadhaa na hivyo ulivyosema. Nione fasta
 
Adwords ina lipa kwani
AdWords inamilikiwa na Google, ni chanzo kikubwa cha mapato. Kwa ripoti ya Google, mwaka 2014 waliweza kupata $32.2 billioni kutoka Adwords system.
Finance + Insurance, Retail na Travel + Tourism ikiwa zinaongoza kwa kutangaza kwenye mfumo huu.
Matangazo yao yapo katika mfumo tofauti
Kuna
1 search ad yanayoonekana kweny search results unapotafuta kitu fulani Google.
Display ad (+remarketing)yapo katika mfumo wa banners yanayonekana kwenye tovuti Kama hi I JF, n.k
Mobile Ads kwa targeting mobile users na YouTube ads.
Malengo yako ya biashara ndio yatathmini ni aina ya tangazo linamtarget na kwa bajeti ipi.
Nadhani ntakuwa nimejibu swali lako japo kwa ufupi.
 
  • Install premium wp theme.
  • Google Analytics set up.
  • Google Tag Manager set up.
  • Creating custom report on Google Analytics.
  • Work close to optimize landing page.
  • Keyword Research (up to 100 most profitable long-tail keywords)
  • Email marketing set up,
  • Manage your Adwords account per day.(excluding account set up fee).
Ask any question, nipo tayar kujibu.
Thanks.
Hizo keywords nachagua niche? Ni targeted au? Cpc?
 
Back
Top Bottom