Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,451
Acha kupiga mayowe.Hizi habari za kusema wananchi wamezuia msafara wa Rais kumuelezea shida zao nadhani ifike mahala sasa tuseme ukweli!!!
Hakuna anayezuia msafara wa Rais,kama ushaona speed ya gari za kwenye msafara,utakubaliana na mimi kuwa hakuna mwananchi wa kawaida anayeweza kufanikiwa kuzuia msafara!
Turudi nyuma kabla ya kuzuia,unawaandaa watu kwenda kumpokea Rais halafu unasema wamezuia msafara!Mnafunga masoko na na kuwalazimisha walimu na watumishi wa serikali kwenda kujipanga barabarani halafu mnasema wamezuia msafara!!!!!
Hebu wananchi wajipange kimya kimya halafu wajue kuna msafara wa Rais,waende kuuzuia waone kitakachowakuta!
Hizi kiki ifike mahali media nazo ziache kutoa promo zisizo na kichwa wala miguu!
Kuna taarifa kuwa huko Tanga kesho soko litafungwa ili watu waende kwenye mkutano!Watumishi wataandikishwa hadi majina na ole wao wasioukuwepo!!!!
Utakuwa ushaelewa!Vizuri,somo limeeleweka!Acha kupiga mayowe.
Unalazimisha?Utakuwa ushaelewa!Vizuri,somo limeeleweka!
Hapana,ila ninajua saikolojia ya mtu aliyeelewa somo!Mojawapo ni aina ya jibu ulilotoa!!!So hongera!Unalazimisha?
Ipo siku wananchi wanaweza zuia kweli msafara wa Rais halafu iwagharimu maisha yao!Hili jambo itabidi wanahabari walitolee ufafanuzi, maana wao ndo huwa wanasema hivyo.
Huna lolote.Hapana,ila ninajua saikolojia ya mtu aliyeelewa somo!Mojawapo ni aina ya jibu ulilotoa!!!So hongera!
Hili jibu pia linaonesha dawa imeingia!Huna lolote.
Rais mpendwa, why force people? Kesho si jmosi hakuna kazi, hivyo hiyo ya wafanyakazi ni uongo!Hizi habari za kusema wananchi wamezuia msafara wa Rais kumuelezea shida zao nadhani ifike mahala sasa tuseme ukweli!!!
Hakuna anayezuia msafara wa Rais,kama ushaona speed ya gari za kwenye msafara,utakubaliana na mimi kuwa hakuna mwananchi wa kawaida anayeweza kufanikiwa kuzuia msafara!
Turudi nyuma kabla ya kuzuia,unawaandaa watu kwenda kumpokea Rais halafu unasema wamezuia msafara!Mnafunga masoko na na kuwalazimisha walimu na watumishi wa serikali kwenda kujipanga barabarani halafu mnasema wamezuia msafara!!!!!
Hebu wananchi wajipange kimya kimya halafu wajue kuna msafara wa Rais,waende kuuzuia waone kitakachowakuta!
Hizi kiki ifike mahali media nazo ziache kutoa promo zisizo na kichwa wala miguu!
Kuna taarifa kuwa huko Tanga kesho soko litafungwa ili watu waende kwenye mkutano!Watumishi wataandikishwa hadi majina na ole wao wasioukuwepo!!!!
aliyekuwa anapakia daladala alikuwa anapenda Jump start???