Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,595 Reaction score 1,863 Jan 26, 2012 #1 niliisoma hapa lakini sikuilewa..naomba mwenye kufahamu software free ya kuzui bahadhi ya namba za cmu na sms kwenye cmu ya nokia e71 please. Thax.
niliisoma hapa lakini sikuilewa..naomba mwenye kufahamu software free ya kuzui bahadhi ya namba za cmu na sms kwenye cmu ya nokia e71 please. Thax.
KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Jan 26, 2012 #2 Ingia kwenye Nokia Ovi store au Getjar zipo za kumwaga utajichotea unayoitaka.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,242 Reaction score 44,327 Jan 27, 2012 #3 Bakulutu said: niliisoma hapa lakini sikuilewa..naomba mwenye kufahamu software free ya kuzui bahadhi ya namba za cmu na sms kwenye cmu ya nokia e71 please. Thax. Click to expand... Best download kaspersky ya simu ina white na blacklist ukimueka tu ndo umemblock
Bakulutu said: niliisoma hapa lakini sikuilewa..naomba mwenye kufahamu software free ya kuzui bahadhi ya namba za cmu na sms kwenye cmu ya nokia e71 please. Thax. Click to expand... Best download kaspersky ya simu ina white na blacklist ukimueka tu ndo umemblock
networker JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 570 Reaction score 217 Jan 27, 2012 #4 atapataje acivation keys .mana trial ikisha shida itakuwa ni ilele kama unayo na activation key ya hao jama msaidie
atapataje acivation keys .mana trial ikisha shida itakuwa ni ilele kama unayo na activation key ya hao jama msaidie
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,280 Jan 27, 2012 #5 Niliwahi kutumia Nokia, nenda gertjar au ovi store zipo za bure
Brakelyn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,181 Reaction score 522 Jan 27, 2012 #6 jaribu hizi za symbian s60v3,,,,fanya installation na zingine zina keygenerators hapo hapo.... Attachments acm_free_s60_3rd_v2.78_build_282_free.sis.zip acm_free_s60_3rd_v2.78_build_282_free.sis.zip 396 KB · Views: 36 iBlocker pro v4.1.4 full.zip iBlocker pro v4.1.4 full.zip 211.4 KB · Views: 96 Melon Advance Call Manager v2.78(284) S60v3 S60v5 SymbianOS9.x Signed Cr@cKeD-By-R@me$h.sis.zip Melon Advance Call Manager v2.78(284) S60v3 S60v5 SymbianOS9.x Signed Cr@cKeD-By-R@me$h.sis.zip 395.8 KB · Views: 43 SymbianOn.Private.Call.And.Sms.Guard.v3.20.S60v3.SymbianOS9.1.Incl.Keygen.Patch-BiNPDA.sis.zip SymbianOn.Private.Call.And.Sms.Guard.v3.20.S60v3.SymbianOS9.1.Incl.Keygen.Patch-BiNPDA.sis.zip 286.8 KB · Views: 40
H Hkeen Member Joined Aug 17, 2011 Posts 95 Reaction score 4 Jan 30, 2012 #7 Brakelyn said: jaribu hizi za symbian s60v3,,,,fanya installation na zingine zina keygenerators hapo hapo.... Click to expand... thanx, hata mm nimeokota kitu hapa.
Brakelyn said: jaribu hizi za symbian s60v3,,,,fanya installation na zingine zina keygenerators hapo hapo.... Click to expand... thanx, hata mm nimeokota kitu hapa.
Skillseeker JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 225 Reaction score 34 Jan 30, 2012 #8 ingia Ovi alafu download software inaitwa mobile guard (NetQin mobile guard v3) alafu install kwenye simu yake kisha uirun..ukiirun ingia kwenye call filter utatatua tatizo lako...
ingia Ovi alafu download software inaitwa mobile guard (NetQin mobile guard v3) alafu install kwenye simu yake kisha uirun..ukiirun ingia kwenye call filter utatatua tatizo lako...