Kuziona Simba, Yanga Jumamosi buku saba tu!

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Jumamosi kati ya watani wa jadi Simba SC dhidi ya Yanga SC utakaochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku kiingilio cha chini kikiwa ni Shilingi elfu saba tu (7,000).
VIINGILIO VINGINE VIKO HAPA...
 
Tiketi za 7,000/= zimeshaisha, wamezimaliza walanguzi watakao ziuza kuanzia 10,000/= - 15,000/= siku ya mchezo.
 
Back
Top Bottom