Kuzimwa mitambo ya analogia nchi nzima

Kuzimwa mitambo ya analogia nchi nzima

Offline User

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
3,828
Reaction score
2,396
Wadau,
Jana nimemsikiliza Naibu waziri Sayansi na Technolojia, J. Makamba akitoa ufafanuzi juu ya kuzimwa kwa mitambo ya analojia. tofauti na kauli zilizokuwa zikitolewa na TCRA kuwa mitambo itazimwa leo nchi nzima, yeye amekuja na ratiba ambayo ni DSM pekee ndo itahusika kwa mabadiliko hayo ya leo, ikifuatiwa na mikoa mingine baadae mwakani.
Je, kwa nini kauli (ratiba)ya Makamba haikutoka kabla ili taharuki iliyojitokeza kwa wakazi wengi hasa mikoani isijitokeze? Hakujua kwamba mfumo wa digital haujaenea mikoa yote ya TZ? Wizara na mamlaka TCRA hawawasiliani (hakuna coordination)?...au ndo walikua wanawatengenezea ulaji Mpoto na Banana?. Sitashangaa watakapokuja na kauli nyingine kesho kwa kushindwa kuizima hata hiyo ya DSM..#absurd ...
 
Mkuu wewe siyo mgeni na utendaji wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania!
 
Sababu leo ndio ilikuwa yazimwa hivyo wametoa taarifa ili mjue kuwa ni Dar pekee
 
kasema ctv,mlimani tz na nyingine zinazoonekana dar pekee ztawekwa kwenye ving'amuzi,je na sisi wamikoani 2taziona hzo tv za dar?
 
hizo tv hazina vobali vya kurusha matangazo nchi nzima, so zitaonekana kwenye maeneo yale tu waliyo leseni!
 
Mkuu wewe siyo mgeni na utendaji wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania!

hakika sio mgeni mkuu! Unajua kuna watu walipandwa na presha huko mikoani? Je serikali itawafidia vp?
 
Wadau,
Jana nimemsikiliza Naibu waziri Sayansi na Technolojia, J. Makamba akitoa ufafanuzi juu ya kuzimwa kwa mitambo ya analojia. tofauti na kauli zilizokuwa zikitolewa na TCRA kuwa mitambo itazimwa leo nchi nzima, yeye amekuja na ratiba ambayo ni DSM pekee ndo itahusika kwa mabadiliko hayo ya leo, ikifuatiwa na mikoa mingine baadae mwakani.
Je, kwa nini kauli (ratiba)ya Makamba haikutoka kabla ili taharuki iliyojitokeza kwa wakazi wengi hasa mikoani isijitokeze? Hakujua kwamba mfumo wa digital haujaenea mikoa yote ya TZ? Wizara na mamlaka TCRA hawawasiliani (hakuna coordination)?...au ndo walikua wanawatengenezea ulaji Mpoto na Banana?. Sitashangaa watakapokuja na kauli nyingine kesho kwa kushindwa kuizima hata hiyo ya DSM..#absurd ...

Hivi wewe mgeni wa ubabaishaji wa wabongo? Mimi nhlijua kuwa kauli zitabadilika muda utakapofika. Marekani yenyewe imetenga miaka 4 kubadili mfumo wa utangazaji kutoka analogue kwenda digital. Mpaka sasa bado muda haujaisha hadi ndani kabisa ya 2013. Eti Tanzania mtu anatenga sekunde tu kubadili mfumo huo!!
 
TZ nimewaheshimu kwa porojo!
 
Mjomba anatupaka wanja...2015 tutampaka pilipili, kwenye kombolela iwe zamu yao kuzinga!
 
Back
Top Bottom