Kuna ndugu yangu mmoja na yeye ana mshono mbaya kama huo
mbona mzuri kabisa huo...
Mie namuogopaga kumuangalia halafu mbaya zaidi ni mdada
haiogopeshi banaaa...ni ngozi tu iliyovimba!!!
Weeee acha kabisa.Yani huo mchono kama wa ng'ombe aiseee hiyo hapana kwa kweli
Hahaha...ng'ombe huwa wanashonwa pia??