Kuna uwezekano mkubwa kuwa processor yake huwa ina over heat kiasi kwamba inapelekea computer kuzima au kuji-restart.
jaribu kuangalia kama fani aina uchafu unaopelekea isizunguke au izunguke chiini ya kiwango kinachotakiwa, pia unaweza ukaangalia kama coolant fluid chini ya CPU kama aijaisha.
Chamsingi angalia cooling system nzima ya hiyo mashine yako, inaweza ikawa chanzo cha ilo tatizo .