Kuzamia bondeni enzi izo ni big deal, Xenophobia imekula washikaji zangu wawili; kidogo ningekuwa marehemu

Unajua zile enzi za Mzungu wa Unga, yaani Mwana Kaenda Mamtoni amerudi ana ng'aa full raba mtoni jeans Kubwa tshirts Kali madem wote Mtaani wake, shingoni ana nyuzi moja ya dhahaabu nyembamba kali sana ( Mabaharia wanajua) , alafu anapush wheels Moja kali balaa au yuko na Motorbike moja ya maaana akipita nje ukisikiaaa sauti hata kama unakula unajuaa uyoooo Soudy (fake name) anapita.
Dah kwa sisi tuliokuwa kwenye age ile foolish age That was Life and we had to have it, bang and roll all the time , hayo ndio yalikua mawazo yetu Back then in the Hoods the West Sides (Not US but a street named so).
Siku moja nakumbuka Nikiwa Form Two tunatoka Class uelekeo Home tunapiga stori za hapa na pale na mwanangu mmoja (cant name him) akasema unamjua bro yule wa UK? nikajibu Yah, akaniambia bro amenitumia some Turntable (santuri na Player) twende tukacheki pia kuna Video tape Kazzaa za movie za mbele kama Friday, above the Rim and Menace to Society.
Tukazicheki na one of the character ni Tupac Shakur (R.I.P) katika izo movies dah mzee sikusita nikasema yesi twenzetu maana uyu mtu Pac c mtu mzuri ata kidogo those days alikua balaaa mno. Lazima umsikilze utake usitake (nilikua na tepu zake Chumbani kwangu).
Tulifika kwa mwanangu tukapiga kitu cha msosi flani hivi then tukapanda juu (ghorofani) room kwa mwana tukacheki Turntable na Mazaga zaga mengine alioletewa THEN uelekeo tukacheki Movie zetu hapo kwa Siting room (we were neighbours and family friends).
For the first time niliona turntable, american boots (Zile Og lakini sio zile za Kariakoo) then tukaa enda angalia Movies za america one of them video tape ilikua Ni mashindano ya Djs wa Marekani na the others zilikua ni zile za kina 2pac and Ice Cube. Tuliangalia kwa Umakini mkubwa nukta kwa nukta full kukaririri acts za mule kwenye kideo.
Kutoka hapo we develop the Following Hobbises 1. Being a Dj (scratching whatever place) 2. Rapper 3. Kuvaa Kama Black Americans (saging and Swinging like 2pac) 3. Naming Our Street West Side. For Old timers they know what am saying.
Kutoka kwenye kuangalia zile movies Hapo ndio ilikua mwanzo wa mambo yote na hadi leo hii na andika hapa inatokana na that day naweza sema lakini si nia yangu kuelezea blah blah kibao lakini nilitaka ujue ni Jinsi gani niliepuka KIFO kwenye Xenophobia ambayo nadhani ni ya kwanza (KWANGU) miaka ya 2000 Mwanzoni na nani alieniokoa na mauti hayo na Pia nijinsi gani ilichukua Uhai wa Rafiki zangu wawili akiwemo the One Big (R.I.P Big Small) huyu ndio nimemtaja hapo juu na Mwingine ni Kobe Brayant (izi zote ni nick name tulipeana kitaa) . Dah rest in heaven wanangu though i wonder if heaven got a gheto. Ngojaa nimalizie hii story vijana mjue Xenophobia iz reaalllly sio blah blah zenu eti una husle, una husle una Pasport? ujawai hata cross bodaaa mojaaa unapoenda huna maamaa wala baba na upajuiiii...Tulia nikupe mkasaa
mmetugeuza mandondocha yenu humu ndani na style yenu ya itaendelea..........
 
Sasa Wewe baba zima unaongea kihuni. Maana utakua between 39 and 50 hapo. Somewhere.
 
Mzee wa santuri alie na swaga za kinigger kilevi chake ni bange na anajiona nae yupo 20th years
 
mods kwa heshima ya hii platform tunaomba story za namna hii muwe mnazifungia kwanza,yaani inaachiwa baada ya mtu kuwaa amemaliza kuitunga na kuiwasilisha yote.najua hii ni kazi ndogo tu.

umeamua kushare story yako ya maisha na wanajamii hapa maliza yote mida huu,nani anaijua kesho yake hapa!!!!unaweka weka viporo tu.
 
Wewe watu wanahusttle hapa hapa bongo hata passport hawana lakini wametoboa, usikariri mkuu maisha hayanaga kanuni..wapo pia waliocross borders wameishia kuongea kiingereza na kung' ata lips tu wakiongea..

Ukitaka tafrisi nzuri ya hustler basi hawa wanaopambana bongo hapa na kutoboa ndio mahustler sasa, kumbuka hapa hakuna mazingira wezeshi wala lelema na kutoboa nguvu nyingi zinatumika tofauti na anaehustle ughaibuni kwenye kila kitu na huumizi sana kichwa..
 
Mkuu huyo Soudy sio fake name ni real name kabisa, jamaa ni mtu wa Tanga alimwagika kutoka nje akaja na bonge la Motorbike alitingisha Tanga nzima na pikipiki yake kiasi kwamba watoto wakisikia sauti ya pikipiki tu wanasema "la soudy hilo linapita" hata kama sio yeye aliyepita. Baada ya miaka michache jamaa akafulia akarudi kuwa raia wa kawaida kabisa, kuna kipindi fulani nilisikia kawa teja. Kama kuna watu wa Tanga humu wanaweza kuthibitisha story ya huyo Soudy na Motorbike yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom