Kuzamia bondeni enzi izo ni big deal, Xenophobia imekula washikaji zangu wawili; kidogo ningekuwa marehemu

Throne Heir

Member
May 17, 2018
60
125
Unajua zile enzi za Mzungu wa Unga, yaani Mwana Kaenda Mamtoni amerudi ana ng'aa full raba mtoni jeans Kubwa tshirts Kali madem wote Mtaani wake, shingoni ana nyuzi moja ya dhahaabu nyembamba kali sana ( Mabaharia wanajua) , alafu anapush wheels Moja kali balaa au yuko na Motorbike moja ya maaana akipita nje ukisikiaaa sauti hata kama unakula unajuaa uyoooo Soudy (fake name) anapita.

Dah! Kwa sisi tuliokuwa kwenye age ile foolish age, that was life and we had to have it, bang and roll all the time, hayo ndio yalikua mawazo yetu back then in the hoods the West Sides (Not US but a street named so).

Siku moja nakumbuka nikiwa Form Two tunatoka class uelekeo Home tunapiga stori za hapa na pale na mwanangu mmoja (can't name him) akasema unamjua bro yule wa UK? nikajibu Yah, akaniambia bro amenitumia some Turntable (santuri na Player) twende tukacheki pia kuna Video tape Kazzaa za movie za mbele kama Friday, above the Rim and Menace to Society.

Tukazicheki na one of the character ni Tupac Shakur (R.I.P) katika izo movies dah mzee sikusita nikasema yesi twenzetu maana uyu mtu Pac si mtu mzuri ata kidogo those days alikua balaaa mno. Lazima umsikilze utake usitake (nilikua na tepu zake Chumbani kwangu).

Tulifika kwa mwanangu tukapiga kitu cha msosi flani hivi then tukapanda juu (ghorofani) room kwa mwana tukacheki Turntable na Mazagazaga mengine alioletewa THEN uelekeo tukacheki Movie zetu hapo kwa Siting room (we were neighbours and family friends).

For the first time niliona turntable, american boots (Zile Og lakini sio zile za Kariakoo) then tukaa enda angalia Movies za america one of them video tape ilikua Ni mashindano ya Djs wa Marekani na the others zilikua ni zile za kina 2pac and Ice Cube. Tuliangalia kwa Umakini mkubwa nukta kwa nukta full kukaririri acts za mule kwenye kideo.

Kutoka hapo we develop the Following Hobbises 1. Being a Dj (scratching whatever place) 2. Rapper 3. Kuvaa Kama Black Americans (saging and Swinging like 2pac) 3. Naming Our Street West Side. For Old timers they know what am saying.

Kutoka kwenye kuangalia zile movies Hapo ndio ilikua mwanzo wa mambo yote na hadi leo hii na andika hapa inatokana na that day naweza sema lakini si nia yangu kuelezea blah blah kibao lakini nilitaka ujue ni Jinsi gani niliepuka KIFO kwenye Xenophobia ambayo nadhani ni ya kwanza (KWANGU) miaka ya 2000 Mwanzoni na nani alieniokoa na mauti hayo na Pia nijinsi gani ilichukua Uhai wa Rafiki zangu wawili akiwemo the One Big (R.I.P Big Small) huyu ndio nimemtaja hapo juu na Mwingine ni Kobe Brayant (izi zote ni nick name tulipeana kitaa) .

Dah rest in heaven wanangu though i wonder if heaven got a gheto. Ngojaa nimalizie hii story vijana mjue Xenophobia iz reaalllly sio blah blah zenu eti una husle, una husle una Pasport? ujawai hata cross bodaaa mojaaa unapoenda huna maamaa wala baba na upajuiiii...Tulia nikupe mkasaa
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,447
2,000
Tumia lugha moja kuandika unaboa,kachumbari ya english na kiswahili pamoja ni upuuzi

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom