ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,749
- 42,229
- Thread starter
-
- #21
Ndio upo sahihiNimekuelewa sana, nadhani maana yako ni kwamba mtu hawezi kutarajia matokeo mapya akiwa amekaa kwenye mazingira yale yale yanayotengeneza tatizo lile lile.
Labda mfano tutolee waraibu wa matumizi ya madawa ya kulevya, au vijana walio athirika na punyeto right?
Comment ya kwanza tu ina chafya hali ya hewa?Kuna kuzama Chumvini
Wengine wanaend mbali wanazama mtaroni
PoleeThis post is a pain in my ass.
Mleta mada inabidi anifuate pm
Asante, ningependa tuongee vizuri kwa pmPolee
PM yangu haipo sawaAsante, ningependa tuongee vizuri kwa pm
Itakuwa sawa lini?PM yangu haipo sawa
Sijui ngoja tuoneItakuwa sawa lini?
Shukran kaka japo nasikia et wenyewe hawatakiiiNawakaribisha Mje mzamie na Kwa MADIBA.
Nitakuwa ni sawa na kujivua nguo za ndani kila mtu aone na wengine hutumia siri za watu vibayaSijui ngoja tuone
Ila unaweza kuongea hapa pia
Pole basi subiri tuone kama itakaa sawaNitakuwa ni sawa na kujivua nguo za ndani kila mtu aone na wengine hutumia siri za watu vibaya
We njoo tu bebii eeenh.Shukran kaka japo nasikia et wenyewe hawatakiii
Ok na subiri ikikaa sawa utanitafutaPole basi subiri tuone kama itakaa sawa
GudubaiiiiiiiiWe njoo tu bebii eeenh.
Njoo tuh😁😁⚰️
OkOk na subiri ikikaa sawa utanitafuta
Acha bhasi eeenhGudubaiiiiiiii
Shenziii
Sije zama sana mpemba ukanogewa mpaka kupelekwa sober house.mshamba_hachekwi Huchezi mbali.... Hamna luzboli hapa.
Afu we mjinga weee nani Mpemba ?Sije zama sana mpemba ukanogewa mpaka kupelekwa sober house.