ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,748
- 42,180
Ni wapi huko tenaKuna kuzama Chumvini
Ndio wazamiaji ni wengiNi wapi huko tena
Nasikia chumvi inachimbwa kwa wingi uvinza
Kumbe kuna kuna kuzama pia?
Sijui kweli ngoja aje huyo ulie mtag pengine yeye afahamuNdio wazamiaji ni wengi
Acha kujifanya hujui basi mshamba_hachekwi
kuna mambo natamani niandike acha nikalale.Sijui kweli ngoja aje huyo ulie mtag pengine yeye afahamu
Andika bhana viporo vya nini sasa na wewekuna mambo natamani niandike acha nikalale.
Kwani anaepiga mbizi hazami?Ukijiona umezama, chukua hatua ya haraka kuibuka.
Piga mbizi Sana, tena kwa nguvu zote kuelekea nchi kavu.
kuna mda watu wanazaliwa na madeni. Ukizaliwa na madeni ndio hayo yanakuumiza sanaAndika bhana viporo vya nini sasa na wewe
kwa mfano wewe mdau na mtoa hoja ulipozama huko ulikozamia, je, ulitokatokaje na kujinasua na mpaka leo umejikuta JF?πKUZAMA SIYO KWENYE MAJI TU
Tunaposema mtu amezama, mara nyingi tunafikiria amezama kwenye mto au bahari
Lakini katika maisha, kuna kuzama kwa aina nyingi
Wengine husema, Nimezama kwenye penzi
Lakini pia kuna watu waliozama kwenye maovu na tabia ambazo zinawatesa kila siku
Kuna kuzama kwenye kamari
Kuna kuzama kwenye pombe
Kuna kuzama kwenye dawa za kulevya
Kuna kuzama kwenye rushwa
Kuna kuzama kwenye uzinzi au umalaya
Kuna kuzama kwenye marafiki wabaya
Kuna kuzama kwenye madeni, uongo, au hata tamaa ya pesa za haraka
Kinachoumiza zaidi ni kwamba wengi wanaozama huko si kwamba hawajui
Wanajitambua kabisa
Wanajua wanachokifanya si sahihi Wanajua wanapoteza muda, kipato, familia, afya na heshima
Lakini wanashindwa kujinasua
Ni kama mtu anayezama majini Anaona kila kitu, anapambana kwa nguvu zote, lakini kadiri anavyojitahidi ndivyo anavyozidi kuzama π
Anatamani kutoka, lakini haoni njia π
Ninaamini sababu mojawapo inayowafanya watu washindwe kuacha tabia mbaya ni mazingira wanayoishi
Ni vigumu kuacha pombe ukiwa kila siku upo kwenye vijiwe vya pombe
Ni vigumu kuacha kamari ukiwa umezungukwa na marafiki wanaokushawishi kucheza kila siku
(Wadau wa betting wanaelewa)
Wakati mwingine mazingira humshinda hata mtu mwenye nia ya kubadilika π―
Lakini je, mazingira ndiyo sababu pekee?
Au kuna mambo mengine kama , kuiga, marafiki, msongo wa mawazo, au kukata tamaa, kujilinganisha , sifa na kutokukinahi?
Karibuuunii wana JF
Je, umewahi kuzama kwenye tabia fulani ukashindwa kutoka, ingawa ulitamani kuiacha?
Ni kitu gani kilikufanya ushindwe kujinasua?
Kama uliweza kuacha, ni mbinu gani ilikusaidia?
- Umewahi kumsaidia mtu kuacha tabia mbaya?
Je ukifanyajeπ€
Ukiweka comment hapa anaweza akapona mtu hata kama asiposema karibuuni guys
Chombezo : umewasha mshumaa au kibatari?
ShesRise_1π€
Jifunze breath technique pia kuna will powerKwani anaepiga mbizi hazami?
Kuna kuzidiwa na nguvu ya maji ujue
Labda waje waokozi
Hiii comment anyway sawaπ€kuna mda watu wanazaliwa na madeni. Ukizaliwa na madeni ndio hayo yanakuumiza sana
unless your debts are paid suffering will never actually leave you. Ndio maana kuzama kunatesa sana watu
Bado sijatoka msaada πkwa mfano wewe mdau na mtoa hoja ulipozama huko ulikozamia, je, ulitokatokaje na kujinasua na mpaka leo umejikuta JF?π
Thank you πJifunze breath technique pia kuna will power
Malaika Gabriel...hebu fafanua breathing power watu wakueleweJifunze breath technique pia kuna will power
sijui sijaeleweka sio kwamba mtu hana utayari ila sijui ni mazingira au anakosa ujasiri lakini ni kama anashindana na yeye mwenyeweHauwezi kupona kama hauko tayari ku delay gratification yaani,
β οΈ pointkukubali kuishi na maumivu ya sasa ili upate heshima na utulivu wa kesho.
Dhamiria kuibuka = will powerMalaika Gabriel...hebu fafanua breathing power watu wakuelewe
Nimekuelewa sana, nadhani maana yako ni kwamba mtu hawezi kutarajia matokeo mapya akiwa amekaa kwenye mazingira yale yale yanayotengeneza tatizo lile lile.sijui sijaeleweka sio kwamba mtu hana utayari ila sijui ni mazingira au anakosa ujasiri lakini ni kama anashindana na yeye mwenyewe