Kwa kweli la sivyo unaitwa feminist sasa hivi๐Ushamkwaa muungwana tayari ๐๐
Punguza kusema ukweli
Kuna watu muda wote hata hawajui kusoma comment za utani na za serious wao ni kupanic tu....job truetrueKwa nini lawama ziwe kwa bibi na sio kwa bibi na babu mkuu?
Sitetei wizi na nilivyosema wanaume wapigwe sikua serious na hapo nilikua nataniana na rafiki zangu ila ndani ya utani wangu kuna asilimia za ukweli.๐
inshort nikiwa na chat na Joannah na Lamomy mara nyingi ni kutaniana na kufurahi tu so take it easy mkuu
Ni kazi aiseeKuna watu muda wote hata hawajui kusoma comment za utani na za serious wao ni kupanic tu....job truetrue
Wana stress pesa hawana na wanawake hawawataki wakiona hivyo basi hasira zao zote wanamalizia kwetu ๐๐Kwa kweli la sivyo unaitwa feminist sasa hivi๐
Ni hatari dogo ila mi nishajiambia sitaruhusu mtu aniambukize stress zake. hapa JF๐Wana stress pesa hawana na wanawake hawawataki wakiona hivyo basi hasira zao zote wanamalizia kwetu ๐๐
๐๐๐ Mi nawaongezea kuwapandisha visukari wakafie huko.!Ni hatari dogo ila mi nishajiambia sitaruhusu mtu aniambukize stress zake. hapa JF๐
๐๐๐ job true true au sioKuna watu muda wote hata hawajui kusoma comment za utani na za serious wao ni kupanic tu....job truetrue
Wewe tena๐๐๐๐ Mi nawaongezea kuwapandisha visukari wakafie huko.!
Kuna muda nawapelekea moto mpk wanaenda kufungua id mpya ili wapooze machungu yao ๐คฃ๐คฃ๐คฃWewe tena๐
Wangekua wanamexa dawa zao za presha na sukari kabla ya kukuvaa!๐
Huwa nikikuonaga engo hizo nacheka sana hlf wao wanakua serious hawajui hizo vitu mwenzao unaona kama mchezo๐Kuna muda nawapelekea moto mpk wanaenda kufungua id mpya ili wapooze machungu yao ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐๐๐๐๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พUzi ungeuandikia kwenye boxer yako ukauficha huko ningeuonea wapi? Au ungeandikia kwenye toilet paper ukauchambia, ili nisiuone
Wangeona ninavyowajibu huku nacheka nadhani wangeacha wanachofanya kwa afya yao ya akili ๐คฃ๐คฃ๐คฃHuwa nikikuonaga engo hizo nacheka sana hlf wao wanakua serious hawajui hizo vitu mwenzao unaona kama mchezo๐
I know ๐Wangeona ninavyowajibu huku nacheka nadhani wangeacha wanachofanya kwa afya yao ya akili ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Yaani naenjoy hawajui tu, nawageuza ninavyotaka nawaacha wanasonya mpk usingizini ๐น๐น
Weeh wale sukari inawapandaga kweli wananiombeaga had ban ๐๐๐I know ๐
Ila ukute hata hawakuchukii labda na wao wanakuchokoza tu for fun๐
Ukute vile unawawashia moto na wao wanachekaa ila walio na chuki kweli ndo hapo sukari zinawapanda๐
Haters wa kweli hawakosekani mdogo wangu ila sio ajabu kuna wengine ukute anajiambia kabisa ngojeq nimzingue lamomy leo ila moyoni anakupenda๐Weeh wale sukari inawapandaga kweli wananiombeaga had ban ๐๐๐
Mkigusa panapouma lazima akimbilie JF HQ kujitetea, wakiona wamekushindwa wanafungua id mpya warudi kivingine watukane wapooze machungu yao na wasichokijua hakuna tusi naliogopa na jipya yote ya zamani na yashaexpire wanajichosha.. ๐น๐น๐น
Wengine wanafanya kusudi ili niwajibu siku yao iende vizuri, wengine yakinishindwa yanaanza kunibebisha ๐๐๐Haters wa kweli hawakosekani mdogo wangu ila sio ajabu kuna wengine ukute anajiambia kabisa ngojeq nimzingue lamomy leo ila moyoni anakupenda๐
Haters fake yaani๐
๐๐Wengine wanafanya kusudi ili niwajibu siku yao iende vizuri, wengine yakinishindwa yanaanza kunibebisha ๐๐๐
Kuna muda unaingia unakuta mention kibao halafu za kipuuzi tupu unabaki unacheka basi sasa utafanyaje?! ๐น
Wengine wanakuwa na maumivu yโa kweli hao pole yao.. sina la kuwasaidia wapambane na stress zao..!
Uwe unaniita nikusaidie kuwajibu ๐๐๐
Kabisa usikubali kuambukizwa stress.
Mi sijui ni uzee yaani huwa naishiwa kabisa nguvu za kujibu siku hizi๐