kuzaa sio kazi,kazi ni kulea!

kuzaa sio kazi,kazi ni kulea!

Mkuu kabla ya kubeba mimba hakikisha unajiweza kuichumi. sometimes vitu vinabadilika


Huenda huyo mwanaume mirija yake ya riziki ilikata maisha hayako fair & majanga yanatokea

Maisha yana ups and down. Mwanamke anaejielewa hatakiwi kumtegemea mwanaume kwa asilimia 100% kifedha.
 
Back
Top Bottom