Kuzaa mapema ndio mpango mzima

Kuzaa mapema ndio mpango mzima

Baadgi = Baadhi

Oeani = Oaneni

Matabibabu = Matabibu

Poor intellectual hata kuandika tu kiswahili hujui? Nani mwenye elimu ya uchochoroni?

Unajua nimemaanisha dini ipi?
Wewe unadhani wote humu wajinga kama wewe, mjinga kama wewe tu ndiye ambaye hataweza kuju upuuzi wako huo, so narrow minded.
 
Naona kuna kampeni ya kuzaa mapema, inaendeshwa chini kwa chini, MMU kuna mada km hii pia, sijui iko kwa faida ya nani
 
Wewe unadhani wote humu wajinga kama wewe, mjinga kama wewe tu ndiye ambaye hataweza kuju upuuzi wako huo, so narrow minded.
Kuju = Kujua

Hahaha ua the really definition of failure n empty minded buddy...
 
928e3b50546ddef7bac06e621d1d97ab.jpg
Yebaaaaaaaa
 
maisha hayana formula zaa mtt na uwenze kumtunza vizuri tunakimbilia kuzaa matokeo yake tunajaza dunia na mataka taka ukiangalia quality ya watt hakuna kitu kabisandio maana umaskini unazidi kutuandama. unaweza zaa na 20 hata hiyo 40 usifike na unaweza zaa na 40 na ukaishi mpk 90yrs cha muhimu jipange usitegemee kutunzwa na
 
Inategemea ulipochelewa kuzaa/kuoa ulikua unafanya nini. Kama ulikua unajirusha itakula kwako. Kama uliweka foundation ya maisha hamna tabu.
 
Back
Top Bottom