Mnapangia watu maisha?
Ndoa ni nini?
Kati ya mtu anayezaa bila ndoa lakini ana mahusiano exclusive na mzazi mwenzake, na mtu anayezaa katika ndoa lakini ana mahusiano mengine kila kona, nani ana afadhali?
Acheni kutaka ku impose standards zenu kwenye maisha ya watu wengine.
What's next? Kama dini/ system yako hairuhusu ndoa ya mitala utatukana ndoa zote za mitala?