Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,643
Kosa ulilofanya ni kuacha mchuzi ungemimina na mchuzi kwenye mfuko wa plastiki uondoke nao.[emoji117] Watu wangu kwani kuna kosa nimefanya????[emoji19][emoji19][emoji30][emoji30]
Huyu ndo mmiliki sasa!Ndani ya dk 10 wakati kuku anachemka jikoni, simu yake ikaita akaingia chumbani kwenda kuongea na simu
Baada ya kupokea simu, aliniambia kaka yake anakuja na hatofurahi akinikuta pale so nimpishe kidogo
Akanisisitiza niondoke haraka atanipigia simu kaka yake akiondoka