Kuweni makini ndugu zangu

Kuweni makini ndugu zangu

Aisee
Ndani yaa mwezi mmoja umegonga messeji 1214
Maana yake ulikuwa unatuma messeji 40 kwa siku
Sio mchezo

1734382990517.png
 
Utakuwa ni pimbi kama unaweza kuiponda serikali alafu ukifuatwa Pm unakuwa mwepesi kama pamba.

Kuna vitu hupaswi kufanya hasa huko pm, sio kwa wanaoikosoa serikali tu hata sisi wengineo. Sio kila mtu ana wema ulionao wewe.

Ndoa za watu nazo ni sumu mbaya sana, biashara haram, dhuluma ni kati ya mambo ambayo yanahatarisha uhai. Yote haya chanzo ni tamaa, tujifunze kuzishinda tamaa zetu.
Umenena vyema jambo la muhimu ni kuwa makini wasiojulikana wapo wengi humu wanakuja kwa njia za mademu
 
Mission yakipindi kile jamaa achafuke! Kweli tukio kama la Lisu anaweza kuwa serkali yake ilihusika ila issue za utekaji,Mauaji na kuokotwa watu kwenye viroba yalilenga sana kuchafua serkali!
Ila huwezi kujua kuna uwezekano hata wahanga wakuuawa akina Soka,Ulomi na akina Sativa walikesha wakishangilia kifo cha JPM!
Hakika kifo kipo mlangoni tudumu katika sala!
Hakika
 
Eh au JPM kafufuka 😂 c mlisema ndie muongozaji wa utekaji, imekuwaje sasa n mwaka wa tatu ila bado utekaji upo 😂
Mwafrika Hafi na akifa huwa anastaafu tu kuonekana Machoni ila yupo kazini Muda wote.
 
Habari
Kuweni makini member wenzangu kwa hali inayoendelea nchini ya kutekana kuwa mwangalifu na watu wanaokuja PM kama we ni mtu wa kuiponda serikali..
NB: Kinga ni bora kuliko tiba
Aisee ni Abdul nini?!
 
Habari
Kuweni makini member wenzangu kwa hali inayoendelea nchini ya kutekana kuwa mwangalifu na watu wanaokuja PM kama we ni mtu wa kuiponda serikali..
NB: Kinga ni bora kuliko tiba

yaani huwa nawashangaa sana watu wanaokuja pm na kunitumia namba zao na kuniomba ushauri au tuwasiliane niwape msaada kwenye baadhi ya ishu niliyoeleza naifahamu.
Mfano kuna ishu ilijadiliwa humu kuhusu kwenda Botswana mimi nikaandika huku jf kuna mtu mzuri namfahamu yupo huko. Na nikaweka namba za huyo mtu za huko botswana nikaeleza ukijieleza vizuri anaweza kukusaidia
Sasa kuna mtu akanifata pm na namba ya simu eti niwasiliane naye nimsaidie kumconect na huyo mtu,kwani alimtafuta kwa ile namba jamaa kachomolea Kwani hamjui.
Jamaa alikuwa ananisumbua na pm zake ikabidi nimjibu ukweli kwamba ninatumia anonymous id siwezi na kamwe haiiwezekani nidisclose information Zangu. Kama kashindwa kumshawishi huyo jamaa basi
Nawashangaa hata hawa wengine wanaosema wanatongozana kabisa na kwenda kugegedana .
Hata kama umesoma nimeandika kuhusu ishu flani naifahamu tafadhali usinifate pm eti nikusaidie kupitia njia ya simu
Wengine tushachangja ishu ngumu hapa nakumbuka kuna mzushi alikuwa anaziquote eti ili kuweka ushahidi
 
Lazima kutakuwa na afisa vipenyo ata ndani ya mods wa JF .hatuko safe kiasi icho
 
Back
Top Bottom