Kuweni makini ndugu zangu

Kuweni makini ndugu zangu

Maana saivi watu wanakimbizwa kaka kuku Ili watekwe. Niliona Ile jamaa anakimbizwa na police mnene Ili atekwe yaani ni sawa na kuku anavyokimbizwa Ili akachinjwe asee Kwa JPM sikuwahi ona utekaji wa hadharani namna ile
Kuna watu bado wanasema JPM kuwa anahusika, aisee inahitaji uwe mwendawazimu kusema JPM anahusika kwenye haya mambo
 
Habari
Kuweni makini member wenzangu kwa hali inayoendelea nchini ya kutekana kuwa mwangalifu na watu wanaokuja PM kama we ni mtu wa kuiponda serikali..
NB: Kinga ni bora kuliko tiba
Sawa mkuu
Six5b0TZWlBbGx71.jpg
 
Ila kuna ukweli sana kwa hilo! Maana mitandao inatufanya tuyasikie sana haya matukio lakini kipindi cha nyuma nchi nzima inasikiliza RTD huwezi kusikia!
Ni mfumo mzima na utendaji wake, sio rais flani au kiongozi flani ..

Ni kweli mkuu, haya masuala ni toka miaka na miaka...
 
Habari
Kuweni makini member wenzangu kwa hali inayoendelea nchini ya kutekana kuwa mwangalifu na watu wanaokuja PM kama we ni mtu wa kuiponda serikali..
NB: Kinga ni bora kuliko tiba
Ahsante kwa ukumbusho. Ila kwanini tufikie huku?? Mambo yakutekana na kuuana kwanini??
 
Habari
Kuweni makini member wenzangu kwa hali inayoendelea nchini ya kutekana kuwa mwangalifu na watu wanaokuja PM kama we ni mtu wa kuiponda serikali..
NB: Kinga ni bora kuliko tiba
Ndio muache kuiponda sasa mkuu, serikali ni kama baba yalo yapasa umuheshimu na umseme kwa staha
 
Eh au JPM kafufuka 😂 c mlisema ndie muongozaji wa utekaji, imekuwaje sasa n mwaka wa tatu ila bado utekaji upo 😂
Michezo hii inapangwa na mamluki wenyewe wa CCM, hiki chama kimeshindwa kabisa kuongoza nchi iliyobaki kwao sasa ni kutishia maisha ya watu kama ilivyo dini ya Kiislam. Ukiongea ukweli unatekwa na kuuliwa.
 
Habari
Kuweni makini member wenzangu kwa hali inayoendelea nchini ya kutekana kuwa mwangalifu na watu wanaokuja PM kama we ni mtu wa kuiponda serikali..
NB: Kinga ni bora kuliko tiba
Mkuu hii vita ni ya walengwa waliobeba mission na siri nzito ya like Wanachofanya kwa Siri na hayo yanaratibiwa vema wenye nchi yao
 
Habari
Kuweni makini member wenzangu kwa hali inayoendelea nchini ya kutekana kuwa mwangalifu na watu wanaokuja PM kama we ni mtu wa kuiponda serikali..
NB: Kinga ni bora kuliko tiba
PM huko tulishavuka, labda wanaokuja nyumbani, Nchi yoyote inayoua Raia ili kuokoa Watawala haitofika popote
 
Eh au JPM kafufuka 😂 c mlisema ndie muongozaji wa utekaji, imekuwaje sasa n mwaka wa tatu ila bado utekaji upo 😂
Hilo ndio limeanzisha taasisi ya utekaji. Lenyewe halipo ila taasisi bado ipo imara.
 
Mnaotafuta wanawake JF ndio mnashida, hizo "honey trap" ndiyo kazi zao kuwadaka kurahisi.
 
Back
Top Bottom