Asante sana kwa kutupa hii elimu,mimi nimewahi kununua simu kwa bei mbaya,lakini nilishangaa kuwa na matatizo kama hayo.Kila mara huwa naenda kwa fundi,huwa akinambia toa memory card,bila kunifahamisha kama tatizo ni hilo la memory card fake.Ukitoa memory card,simu inafanyakazi kama kawaida,hata kama ilikuwa yakataa kuwaka.Kuna wimbi la bidhaa fake hasa vifaa vya simu. Unaweza kununua simu yk nzuri tena kwa gharama kubwa lakini ukaishia kuidispose simply because of these fake SD Card. Mara nyingi wauzaji wa simu hutoa SD original na kuweka fake.
Na mara nyingi wauzaji wa SD card huuza fake. Unaponunua simu kama ni Samsung basi SD card lazima iwe na maandishi Samsung.
SD card fake husababisha simu kuwa slow, ku stuck, apps kurestart mara kwa mara, na msg za 'sd card removed unexpectedly'.
Suala hili limeshagharimu na kusumbua watu wengi. Mimi mmojawapo.
Lets share this alerting msg
Unawezaje kuijua memory card original ?Ndio hivyo.
...Itakusumbua mpaka ubadilishe hy memory card
Huwezi kusibitisha kuwa wauzaji wanatoa memory na kuweka feki ilihali kama wewe si muuzaji, suala la vitu vingi hapa Tz kuwa feki ni la wateja wenyewe ambao wanapenda vitu vya rahisi au ikiwezekana kiwe cha wizi yeye ndo kinamfaa zaidi. Wakianza wateja wenyewe kubadilika kila kitu kitabadilika sasa hivi ni nadra sana kukuta memory org hapa Tz, pengine niseme zile zinazokuja na simu za Tecno zina viwango.