barbie20
Member
- Jan 2, 2018
- 45
- 66
Kuweni makini na huyu mtu anaitwa, (Ezekiel Ephraim kachare) ni tapeli kampuni yake ni(IRIS INSURANCE AGENCY) alitangaza kazi.. baadae akatuita kwenye interview.. tena tukatoka mikoan baada ya mda akatuita kwenye training,, hamna malipo wala nini Ile tarehe ya kuanza kazi ikapita kila siku anatupiga kalenda kazi kesho.. Na kazi yake kukutumia tumtafutie wateja wa bima malipo hamna.. Mwsho wa siku katukimbia na simu hapokei kabisaa ivi kweli ni uungwana?, watu tumeaga kwetu tumepata kazi na wazazi wakafurai... Sasa kwa anayemjua amfikishie taarifa atulipe ata ela ya nauli turudi kwetu.