Unaweza ukaingia waptrick.com then search whatsapp, then utaclick application baada ya kusearch hapo utakwenda hadi upate whatsapp utaclick na kuinstall. ila kama unatumia android nenda android market na utafute kule.
mkuu inakubali kwa X2?
x2 ipi? Kuna aina 3 za x2
hii inakubali whatsapp
![]()
hii pia inakubaliiii na ina 5 mp cameraaa
![]()
ila hii ndo huwa inazngua whatsapp .. Inaendana kdogo na hyo ya pili
![]()
ww yako ipi hapooo
x2 ipi? Kuna aina 3 za x2
hii inakubali whatsapp
![]()
hii pia inakubaliiii na ina 5 mp cameraaa
![]()
ila hii ndo huwa inazngua whatsapp .. Inaendana kdogo na hyo ya pili
![]()
ww yako ipi hapooo