Ndugu zangu nchi yetu haina dini. Lakini imekuwa kawaida saana kwa watumishi wa serikali hata Taasisi binafsi km benki, kuweka radio au vitu vinavyoashiria imani yake sehem hizo. Kuna wengine hawana dini na wengine wapo na imani tofauti na hayo wanayosikia. Kama kuna haja saana ya kusikiliza mambo yako kwa nini usitumie headphones na si kumsikilizisha kila mmoja.
Kituo cha polisi mtu kaweka radio station a nasikiliza.... Tafadhali ni sehem za umma hizi.
Kituo cha polisi mtu kaweka radio station a nasikiliza.... Tafadhali ni sehem za umma hizi.