Kuweka/Ku burn kitabu kwenye DVD

Masikini mjanja

JF-Expert Member
Oct 13, 2017
232
378
Wakuu naomba kujua je ni kiburn kitabu kwenye DVD hicho kitabu mtu anaweza kukicopy na kukiweka kwenye mfumo wa Wards?
Na je mtu anaweza kikisoma kwenye TV?

Naomba anaye jua kwa sababu nina kitabu nimeandaa ila nataka nikiuze kwenye mfumo wa DVD na si mfumo wa Hard copy
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom