mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Kumeibuka hoja za watu mbalimbali wasomi Na watu wakawaida wakiwalaamu Wapinzani kutoka nje ya Bunge Na kudai eti hawawatetei wananchi.
Hoja hiyo haina mashiko no hoja ya kipumbavu.Mbona wasomi Na hao wanaowalaumu wapinzani hawazungumzii ubabe Na vitisho vinavyofanywa Na Naibu spika dhidi ya wapinzani?
Wananchi wanaweza kutetewa nje ya bunge Kwa mfano viongozi wa taasisi wanapopasa sauti zao dhidi ya serikali kuhusu wananchi, MTU binafsi anapoamua kuiambia serikali jambo Fulani Kwa ajili ya wananchi kama vile kuiomba serikali ipeleke Huduma katika maeno Fulani huko ni kuwatetea wananchi.
Wapinzani wanazuiliwa kuwatetea wananchi ili ionekane CCM ndio inawatetea wananchi.
Upinzani hoja ya kuwatetea wananchi nje ya bunge in sahihi tuwaunge mkono.
Kwani Makanisa yanavyoiambia serikali itende haki Kwa wananchi huo in utetezi he makanisa yakasemee bungeni?