Jibu ni rahisi sana... nenda hata dispensary tu ambayo ina maabara kapime choo kidogo inawezekana ni infection au fungus kwa maana magonjwa ya STD kwa mwanaume dalili zinajitokeza haraka sana kutokana na maumbile yetu, unaweza fanya usiku asubuhi kitu kimeitika ila kwa mwanamke anaweza kaa hata mwezi bila dalili yoyote na ugonjwa anao, So ili uwe na amani na uwahi matibabu KAPIME MKOJO FASTA, km ni fungus za kawaida basi tumia GENTROSONE ni dawa ya tube ina rangi ya kijani ila baada ya kupata vipimo kwanza isije kuwa STD.Na kwa ushauri wa bure kwa zama hizi msichana km sio mkeo au mnaishi pamoja under the same roof mnapika na kupakua "USITHUBUTU KWENDA KAVU"